Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Anointing of the Holy Spirit

7 mistari · 8 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kisha mvike Aroni yale mavazi matakatifu, umtie mafuta na kumweka wakfu ili apate kunitumikia katikati ya ukuhani.

  2. Walete wanawe na uwavike makoti.

  3. Kisha watie mafuta kama ulivyomtia baba yao, ili nao pia wanitumikie katika kazi ya ukuhani. Kutiwa mafuta kwao kutakuwa kwa ajili ya ukuhani utakaoendelea kwa vizazi vyote vijavyo.”

  4. Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, na nimemtia mafuta yangu matakatifu.

  5. Kitanga changu kitamtegemeza, hakika mkono wangu utamtia nguvu.

  6. Hakuna adui atakayemtoza ushuru, hakuna mtu mwovu atakayemwonea.

  7. Nitawaponda adui zake mbele zake na kuwaangamiza watesi wake.