Mistari ya Biblia kuhusu Adiel: 3. Father of Azmaveth
Mistari kuhusu 3. Father of Azmaveth
Azmawethi mwana wa Adieli ndiye alikuwa msimamizi wa hazina za mfalme. Msimamizi wa hazina katika mashamba, miji, vijiji na kwenye ngome alikuwa Yonathani mwana wa Uzia.