Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Adder: A venomous serpent.

5 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A venomous serpent.

  1. Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali.

  2. Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake,

  3. Utawakanyaga simba na nyoka wakali, simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu.

  4. Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, sumu ya nyoka iko midomoni mwao.

  5. Mwishowe huuma kama nyoka na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu.