Mistari ya Biblia kuhusu Abdeel: Father of Shelemiah.
Mistari kuhusu Father of Shelemiah.
Badala yake, mfalme akamwamuru Yerameeli, mwana wa mfalme, Seraya mwana wa Azrieli, na Shelemia mwana wa Abdeeli kuwakamata mwandishi Baruku na nabii Yeremia. Lakini Bwana alikuwa amewaficha.