Phoenix
Anajulikana pia kama: Phenice
35.1900, 24.0800 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Phoenix
Kwa kuwa ile bandari ilikuwa haifai kukaa wakati wa majira ya baridi, wengi wakashauri kwamba tuendelee na safari wakitarajia kufika Foinike na kukaa huko kwa majira ya baridi. Hii ilikuwa bandari iliyoko katika kisiwa cha Krete ikikabili upande wa kusini-magharibi na kaskazini-magharibi.