Pelusium
Anajulikana pia kama: Sin
28.8300, 33.4200 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Pelusium
Nitaimwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, ngome ya Misri, nami nitakatilia mbali makundi ya wajeuri wa Thebesi.
Nitaitia moto nchi ya Misri; Pelusiumu itagaagaa kwa maumivu makuu. Thebesi itachukuliwa na tufani, Memfisi itakuwa katika taabu daima.