Nahalol
32.7200, 35.3500 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Nahalol
Vivyo hivyo Zabuloni hawakuwafukuza Wakanaani walioishi huko Kitroni, wala walioishi Nahaloli, ambao walibaki miongoni mwao; bali waliwatia katika kazi ya kulazimishwa.