Mahaneh-dan
Anajulikana pia kama: Dan
31.7500, 34.9900 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Mahaneh-dan
Roho wa Bwana akaanza kumsukuma wakati alipokuwa huko Mahane-Dani, kati ya Sora na Eshtaoli.
Walipokuwa wakisafiri wakapiga kambi huko Kiriath-Yearimu katika Yuda. Hii ndiyo sababu sehemu ya magharibi ya Kiriath-Yearimu inaitwa Mahane-Dani mpaka leo.