Kiriath-baal
Anajulikana pia kama: Kirjath-baal
31.7700, 34.9900 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Kiriath-baal
Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu) na Raba; miji miwili pamoja na vijiji vyake.
Kutoka kilima kinachotazamana na Beth-Horoni upande wa kusini mpaka ule ukazunguka kusini kufuatia upande wa magharibi, na ukatokezea Kiriath-Baali (yaani Kiriath-Yearimu), mji wa watu wa Yuda. Huu ndio uliokuwa upande wa magharibi.