Giloh
31.6100, 35.0800 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Giloh
Gosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.
Wakati Absalomu alipokuwa anatoa dhabihu, pia akatuma aitwe Ahithofeli, Mgiloni, mshauri wa Daudi, aje kutoka Gilo, ambao ndio mji wake wa nyumbani. Kwa hiyo mpango wa hila ukapata nguvu, na idadi ya waliofuatana na Absalomu ikaongezeka.