Ephron
31.6700, 35.0400 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Ephron
Kutoka juu ya kilima mpaka ule ukaendelea hadi kwenye chemchemi ya maji ya Neftoa, ukatokea kwenye miji ya Mlima Efroni na kuteremka kuelekea Baala (yaani Kiriath-Yearimu).