Elishah
35.0100, 33.2000 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Elishah
Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako, nacho kilikuwa bendera yako; chandarua chako kilikuwa cha rangi ya buluu na ya zambarau kutoka visiwa vya Elisha.