Bath-rabbim
31.8000, 35.8000 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Bath-rabbim
Shingo yako ni kama mnara wa pembe ya ndovu. Macho yako ni vidimbwi vya Heshboni karibu na lango la Beth-Rabi. Pua lako ni kama mnara wa Lebanoni ukitazama kuelekea Dameski.