Aphek
32.1000, 34.9300 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Aphek
mfalme wa Afeki mmoja mfalme wa Lasharoni mmoja
Nalo neno la Samweli likaja kwa Israeli yote. Basi Waisraeli walitoka kwenda kupigana dhidi ya Wafilisti. Waisraeli wakapiga kambi huko Ebenezeri, nao Wafilisti wakapiga kambi huko Afeki.
Wafilisti wakakusanya majeshi yao yote huko Afeki, nao Waisraeli wakapiga kambi karibu na chemchemi iliyoko Yezreeli.