Adriatic Sea
Anajulikana pia kama: Adria
42.4100, 16.3700 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Adriatic Sea
Usiku wa kumi na nne ulipofika, tulikuwa bado tunasukumwa na upepo katika Bahari ya Adria. Ilipokuwa yapata usiku wa manane, mabaharia wakahisi kwamba walikuwa wanakaribia nchi kavu.