Abiezer
32.6000, 35.2800 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Abiezer
Gideoni akawajibu, “Nilichofanya mimi ni nini kulinganisha na kile ninyi mlichofanya? Je, kuokoa masazo ya zabibu za Efraimu si bora kuliko mavuno kamili ya zabibu ya Abiezeri?