Shemaiah
Mistari inayomtaja Shemaiah
Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.
Kisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu.