Rukia maudhui

Pekahiah

3 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Pekahiah

  1. Menahemu akalala pamoja na baba zake. Naye Pekahia mwanawe akawa mfalme baada yake.

  2. Katika mwaka wa hamsini wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda, Pekahia mwana wa Menahemu akawa mfalme wa Israeli huko Samaria, akatawala miaka miwili.

  3. Matukio mengine ya utawala wa Pekahia na yote aliyoyafanya yameandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli.