Rukia maudhui

Crispus

2 mistari

Mistari inayomtaja Crispus

  1. Kiongozi wa hilo sinagogi, aliyeitwa Krispo, akamwamini Bwana, yeye pamoja na watu wote wa nyumbani mwake. Nao Wakorintho wengi waliomsikia Paulo pia wakaamini na kubatizwa.

  2. Nashukuru kwamba sikumbatiza mtu yeyote isipokuwa Krispo na Gayo.