Skip to content

Bildad

5 mistari

Mistari inayomtaja Bildad

  1. Basi marafiki watatu wa Ayubu, ndio Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi na Sofari Mnaamathi, waliposikia juu ya taabu yote iliyompata Ayubu, wakajipanga toka manyumbani mwao, nao wakakutana pamoja kwa makubaliano kwenda kumtuliza katika taabu hiyo na kumfariji.

  2. Kisha Bildadi Mshuhi akajibu:

  3. Bildadi Mshuhi akajibu:

  4. Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu:

  5. Kwa hiyo Elifazi Mtemani, Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi wakafanya kama Bwana alivyowaambia; naye Bwana akayakubali maombi ya Ayubu.