Skip to content
Zaburi 89:2-4

Zaburi 89:2-4

2
Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele na uaminifu wako umeuthibitisha mbinguni.
3
Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu, nimemwapia mtumishi wangu Daudi,
4
‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options