Skip to content
Luka 23:29-30

Luka 23:29-30

29
Kwa maana wakati utafika mtakaposema, ‘Wamebarikiwa wanawake tasa, ambao matumbo yao hayakuzaa, wala matiti yao hayakunyonyesha!’
30
Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” na vilima, “Tufunikeni!” ’
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 75 chars

Options