Skip to content
Yeremia 47:6-7

Hukumu ya Mungu Isiyoweza Kubatilishwa

Yeremia 47:6-7
6
“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Bwana, utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? Rudi ndani ya ala yako; acha na utulie.’
7
Lakini upanga utatuliaje wakati Bwana ameuamuru, wakati ameuagiza kuishambulia Ashkeloni pamoja na pwani yake?”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options