Skip to content
Hosea 12:7-8

Udanganyifu wa Efraimu na Utajiri wa Uongo

Hosea 12:7-8
7
Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; hupenda kupunja.
8
Efraimu hujisifu akisema, “Mimi ni tajiri sana; nimetajirika. Pamoja na utajiri wangu wote hawatakuta ndani yangu uovu wowote au dhambi.”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options