Skip to content
Mwanzo 32:1-2

Yakobo akutana na jeshi la Mungu huko Mahanaimu

Mwanzo 32:1-2
1
Yakobo pia akaondoka akaenda zake, nao malaika wa Mungu wakakutana naye.
2
Yakobo alipowaona, akasema, “Hii ni kambi ya Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali pale Mahanaimu.
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options