Skip to content
Mwanzo 20:1-2

Abrahamu amdanganya Abimeleki huko Gerari

Mwanzo 20:1-2
1
Basi Abrahamu akaendelea mbele kutoka huko hadi nchi ya Negebu na akaishi kati ya Kadeshi na Shuri. Kwa muda mfupi alikaa Gerari kama mgeni,
2
huko Abrahamu akasema kuhusu Sara mkewe, “Huyu ni dada yangu.” Kisha Abimeleki mfalme wa Gerari akatuma Sara aletwe, naye akamchukua.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options