Rukia maudhui
Kutoka 22:18-20

Sheria Dhidi ya Matendo Yaliyokatazwa

Kutoka 22:18-20
18
“Usiruhusu mwanamke mchawi aishi.
19
“Mtu yeyote aziniye na mnyama lazima auawe.
20
“Mtu awaye yote anayemtolea mungu mwingine dhabihu isipokuwa Bwana, lazima aangamizwe.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options