Rukia maudhui
Kumbukumbu 14:28-29

Zaka ya Kila Miaka Mitatu kwa Ajili ya Maskini

Kumbukumbu 14:28-29
28
Mwishoni mwa kila mwaka wa tatu, leteni zaka zote za mazao ya miaka ile na uyahifadhi kwenye miji yenu,
29
ili Walawi (ambao hawana mashamba wala urithi wao wenyewe) na wageni, yatima na wajane wanaoishi kwenye miji yenu wapate kuja kula na kushiba, ili Bwana Mungu wenu apate kuwabariki ninyi katika kazi zote za mikono yenu.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options