Skip to content
1 Wafalme 13:8-9

1 Wafalme 13:8-9

8
Lakini yule mtu wa Mungu akamjibu mfalme, “Hata kama ungenipa nusu ya mali zako, nisingekwenda pamoja na wewe, wala nisingekula mkate au kunywa maji hapa.
9
Kwa kuwa niliagizwa kwa neno la Bwana: ‘Kamwe usile mkate wala usinywe maji au kurudi kwa njia uliyojia.’ ”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options