Mausia ya Kuhitimisha
Inaonyesha mstari 58 pamoja na muktadha unaouzunguka.
55
“Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako? Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?”
56
Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria.
57
Lakini ashukuriwe Mungu, yeye atupaye ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
58
Kwa hiyo, ndugu zangu wapenzi, simameni imara, msitikisike, mzidi sana katika kuitenda kazi ya Bwana, kwa maana mnajua ya kuwa, kazi yenu katika Bwana si bure.
Settings