Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Oar

3 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Huko Bwana atakuwa Mwenye Nguvu wetu. Patakuwa kama mahali pa mito mipana na vijito. Hakuna jahazi lenye makasia litakalopita huko, wala hakuna meli yenye nguvu itakayopita huko.

  2. Walichukua mialoni toka Bashani wakakutengenezea makasia yako; kwa miti ya msanduku kutoka pwani ya Kitimu wakatengeneza sitaha yako na kuipamba kwa pembe za ndovu.

  3. Wote wapigao makasia wataacha meli zao, mabaharia wote na wanamaji wote watasimama pwani.