Rehoboth
31.0600, 34.5900 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Rehoboth
Akaondoka huko, akachimba kisima kingine, wala hakuna yeyote aliyekigombania. Akakiita Rehobothi, akisema, “Sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutastawi katika nchi.”