Ephes-dammim
31.6900, 34.9400 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Ephes-dammim
Wakati huu Wafilisti wakakusanya majeshi yao kwa ajili ya vita, nao wakakusanyika huko Soko katika Yuda. Wakapiga kambi huko Efes-Damimu, kati ya Soko na Azeka.