Cnidus
36.6800, 27.3700 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Cnidus
Tukasafiri polepole kwa siku nyingi na kwa shida, hatimaye tukafika karibu na Nido. Kwa kuwa upepo wa mbisho ulituzuia tusiweze kushika mwelekeo tuliokusudia, tukapita chini ya Krete mkabala na Salmone.