Skip to content

Bochim

2 verses

31.9300, 35.2200 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Bochim

  1. Malaika wa Bwana akakwea kutoka Gilgali hadi Bokimu, naye akasema, “Niliwapandisha kutoka Misri na kuwaingiza katika nchi niliyoapa kuwapa baba zenu. Nikasema, ‘Kamwe sitalivunja Agano langu nanyi.

  2. Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea Bwana sadaka.