Baal-shalishah
Anajulikana pia kama: Baal-shalisha
32.0200, 35.2200 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Baal-shalishah
Akaja mtu kutoka Baal-Shalisha, akimletea mtu wa Mungu mikate ishirini ya shayiri iliyookwa kutokana na nafaka ya kwanza, pamoja na masuke ya nafaka mpya. Elisha akasema, “Wape watu ili wale.”