Mahershalalhashbaz 2 mistari · 2 wanafamilia Anajulikana pia kama: Maher-shalal-hash-baz Tafuta "Mahershalalhashbaz" Mistari inayomtaja Mahershalalhashbaz Isaya 8:1Bwana akaniambia, “Chukua gombo kubwa, uandike juu yake kwa kalamu ya kawaida jina: Maher-Shalal-Hash-Bazi.Isaya 8:3Kisha nikaenda kwa nabii mke, naye akapata mimba, akazaa mwana. Kisha Bwana akaniambia, “Mwite huyo mtoto Maher-Shalal-Hash-Bazi.