Loruhamah 2 mistari · 4 wanafamilia Anajulikana pia kama: Lo-ruhamah Tafuta "Loruhamah" Mistari inayomtaja Loruhamah Hosea 1:6Gomeri akachukua tena mimba akamzaa binti. Kisha Bwana akamwambia Hosea, “Mwite Lo-Ruhama, kwa maana sitaonyesha tena upendo kwa nyumba ya Israeli, kwamba nisije kabisa nikawasamehe.Hosea 1:8Baada ya Gomeri kumwachisha Lo-Ruhama kunyonya, Gomeri alipata mwana mwingine.