Izri
Anajulikana pia kama: Zeri
Mistari inayomtaja Izri
Wana wa Yeduthuni walikuwa sita: Gedalia, Seri, Yeshaya, Shimei, Hashabia, na Matithia, nao walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao Yeduthuni, wao walikuwa wakitoa unabii wakitumia vinubi, wakimshukuru na kumtukuza Bwana.
ya nne ikamwangukia Isri, // wanawe na jamaa zake, 12