Berechiah
Anajulikana pia kama: Berachiah
Mistari inayomtaja Berechiah
na msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume: Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
Basi Walawi wakawaweka Hemani mwana wa Yoeli; kutoka miongoni mwa ndugu zake, Asafu mwana wa Berekia; kutoka miongoni mwa ndugu zao Wamerari, Ethani mwana wa Kushaiya;
Berekia na Elikana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.