Skip to content
Ufunuo 2:26-27

Ufunuo 2:26-27

26
“Atakayeshinda na kutenda mapenzi yangu mpaka mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa:
27
“ ‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma, atawavunja vipande vipande kama chombo cha udongo’: kama vile mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Options