Skip to content
Zaburi 143:1-2

Kumwomba Mungu kwa Uaminifu na Haki Yake

Zaburi 143:1-2
1
Zaburi ya Daudi. Ee Bwana, sikia sala yangu, sikiliza kilio changu unihurumie; katika uaminifu na haki yako njoo unisaidie.
2
Usimhukumu mtumishi wako, kwa kuwa hakuna mtu anayeishi aliye mwenye haki mbele zako.
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options