Skip to content
Zaburi 142:1-2

Kilio cha Kukata Tamaa Kutoka Pangoni

Zaburi 142:1-2
1
Utenzi wa Daudi. Alipokuwa pangoni. Maombi. Namlilia Bwana kwa sauti, nainua sauti yangu kwa Bwana anihurumie.
2
Namimina malalamiko yangu mbele zake, mbele zake naeleza shida zangu.
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options