Skip to content
Luka 19:45-46

Luka 19:45-46

45
Ndipo akaingia eneo la Hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza vitu humo.
46
Naye akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyangʼanyi.’ ”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options