Skip to content
Luka 16:30-31

Luka 16:30-31

30
“Yule tajiri akasema, ‘Hapana, baba Abrahamu, lakini mtu kutoka kwa wafu akiwaendea, watatubu.’
31
“Abrahamu akamwambia, ‘Kama wasipowasikiliza Mose na Manabii, hawataweza kushawishika hata kama mtu akifufuka kutoka kwa wafu.’ ”
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 75 chars

Options