Skip to content
Walawi 27:30-31

Walawi 27:30-31

30
“ ‘Zaka ya kila kitu kutoka shambani, iwe ni nafaka kutoka kwa ardhi, au tunda kutoka kwa miti, ni mali ya Bwana; ni takatifu kwa Bwana.
31
Kama mtu akikomboa chochote cha zaka yake, lazima aongeze sehemu ya tano ya thamani yake.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 90 chars

Options