Skip to content
Mwanzo 49:1-2

Yakobo Awakusanya Wanawe kwa Unabii

Mwanzo 49:1-2
1
Ndipo Yakobo akawaita wanawe na kusema: “Kusanyikeni kunizunguka ili niweze kuwaambia lile litakalowatokea siku zijazo.
2
“Kusanyikeni na msikilize, enyi wana wa Yakobo, msikilizeni baba yenu Israeli.
Settings

Reading style

Typeface

Font size 19px

Reading width 90 chars

Options