Skip to content
Mwanzo 30:22-24

Mungu amkumbuka Raheli; kuzaliwa kwa Yosefu

Mwanzo 30:22-24
22
Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
23
Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
24
Akamwita Yosefu na kusema, “Bwana na anipe mwana mwingine.”
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options