Skip to content
Ezekieli 36:14-15

Ezekieli 36:14-15

14
kwa hiyo hutakula tena watu wala kulifanya tena taifa lako lisiwe na watoto, asema Bwana Mwenyezi.
15
Sitakufanya tena usikie dhihaka za mataifa, wala kudharauliwa na kabila za watu, wala kulifanya taifa lako lianguke, asema Bwana Mwenyezi.’ ”
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Options