Skip to content
Ezekieli 16:32-34

Ezekieli 16:32-34

32
“ ‘Wewe mke mzinzi! Unapenda wageni, kuliko mume wako mwenyewe.
33
Kila kahaba hupokea malipo, lakini wewe hutoa zawadi kwa wapenzi wako wote, ukiwahonga ili waje kwako kutoka kila mahali kwa ajili ya ukahaba wako.
34
Kwa hiyo wewe ulikuwa tofauti na wanawake wengine kwenye ukahaba wako, hakuna aliyekutongoza ili kuzini naye, wewe ndiye uliyelipa wakati hakuna malipo uliyolipwa wewe. Wewe ulikuwa tofauti.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Options